bible.software › Nehemia › Nehemia 11 › Nehemia 11:4
Nehemia 11:4
ambapo watu wengine kutoka Yuda na Benyamini waliishi Yerusalemu). Kutoka wazao wa Yuda: Athaya mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, mzao wa Peresi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And at Jerusalem dwelt certain of the children of Judah, and of the children of Benjamin. Of the children of Judah; Athaiah the son of Uzziah, the son of Zechariah, the son of Amariah, the son of Shephatiah, the son of Mahalaleel, of the children of Perez;
In Context
3Hawa ndio viongozi wa majimbo waliokuja kuishi Yerusalemu (baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi, watumishi wa Hekalu, + 11:3 Yaani Wanethini (pia 11:21). na wazao wa watumishi wa Solomoni waliendelea kuishi katika miji ya Yuda, kila mmoja katika milki yake mwenyewe katika miji mbalimbali,
5Naye Maaseya mwana wa Baruku, mwana wa Kolhoze, mwana wa Hazaya, mwana wa Adaya, mwana wa Yoyaribu, mwana wa Zekaria, mzao wa Mshiloni.
Read all of Nehemia 11
Cross References
Genesis 38:29Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
1 Chronicles 9:3Wale waliotoka Yuda, Benyamini, Efraimu na Manase ambao waliishi Yerusalemu walikuwa: 2 Jamaa Za Yuda 1
Luke 3:33Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, 1 Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, 1 Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, 1 Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, 1 Peresi alikuwa mwana wa Yuda, 1
This Verse In Other Editions
Study Nehemia 11:4