Nehemia 2:12
nikaondoka wakati wa usiku pamoja na watu wachache. Sikuwa nimemwambia mtu yeyote kile ambacho Mungu wangu alikuwa ameweka moyoni mwangu kufanya kwa ajili ya Yerusalemu. Hapakuwepo na mnyama yeyote pamoja nami isipokuwa yule niliyekuwa nimempanda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Nilienda Yerusalemu, na baada ya kukaa huko siku tatu,
Cross References
Joshua 10:9Baada ya Yoshua kutembea usiku kucha kutoka Gilgali, akawashambulia ghafula.
Judges 9:32Sasa, basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.
Psalms 51:18Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, 2 ukazijenge upya kuta za Yerusalemu. 1
Proverbs 12:23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, 2 bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 1
Jeremiah 31:33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile,” asema Bwana. 1 “Nitaweka sheria yangu katika nia zao, 2 na kuiandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1
Amos 5:13Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo, 2 kwa kuwa nyakati ni mbaya. 1