Proverbs 12:23
Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, 2 bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A prudent man concealeth knowledge: but the heart of fools proclaimeth foolishness.
In Context
22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo, 2 bali hufurahia watu ambao ni wa kweli. 1
24Mikono yenye bidii itatawala, 2 bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 1
Cross References
1 Samuel 10:16Sauli akajibu, “Alituhakikishia kwamba punda wamepatikana.” Lakini hakumwambia babaye mdogo kila kitu Samweli alichomwambia kuhusu ufalme.
Nehemiah 2:16Maafisa hawakujua nilikokwenda wala nilichokuwa nikifanya, kwa sababu mpaka sasa nilikuwa bado sijasema lolote kwa Wayahudi, wala makuhani, wala wakuu, wala maafisa, wala mtu yeyote ambaye angefanya kazi.
Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Proverbs 13:16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa, 2 bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake. 1
Proverbs 15:2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1
Ecclesiastes 10:3Hata anapotembea barabarani, 2 mpumbavu hukosa ufahamu 1 na kudhihirisha kwa kila mmoja 2 jinsi alivyo mpumbavu. 1