bible.software › Numbers › Numbers 1 › Numbers 1:21
Numbers 1:21
Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Those that were numbered of them, even of the tribe of Reuben, were forty and six thousand and five hundred.
In Context
20Kutoka wazao wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
22Kutoka wazao wa Simeoni: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi walihesabiwa na kuorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Read all of Numbers 1
Cross References
Numbers 26:7Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 1:21