Numbers 1:36
Kutoka wazao wa Benyamini: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200. 1
37Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400. 1
Cross References
Genesis 44:20Nasi tukakujibu, ‘Tunaye baba yetu ambaye ni mzee; pia yupo mwanawe mdogo aliyezaliwa katika uzee wake. Ndugu yake amekufa, na huyu mdogo ndiye mwana pekee kwa mama yake aliyebaki, naye baba yake anampenda.’
Genesis 49:27“Benyamini ni mbwa mwitu mlafi mwenye njaa kuu; 2 asubuhi hurarua mawindo yake, 2 jioni hugawa nyara.”
2 Chronicles 17:17Kutoka Benyamini: 2 Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao; 2