bible.software › Numbers › Numbers 1 › Numbers 1:35
Numbers 1:35
Idadi kutoka kabila la Manase walikuwa watu 32,200. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Those that were numbered of them, even of the tribe of Manasseh, were thirty and two thousand and two hundred.
In Context
34Kutoka wazao wa Manase: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
36Kutoka wazao wa Benyamini: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Read all of Numbers 1
Cross References
Genesis 48:19Lakini baba yake akakataa, akasema, “Ninajua, mwanangu, ninajua. Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. Hata hivyo, ndugu yake mdogo atakuwa mkuu kuliko yeye, nao wazao wake watakuwa kundi la mataifa.”
Numbers 26:34Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 1:35