Genesis 49:27
“Benyamini ni mbwa mwitu mlafi mwenye njaa kuu; 2 asubuhi hurarua mawindo yake, 2 jioni hugawa nyara.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:18Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. + 35:18 Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu. Lakini babaye akamwita Benyamini. + 35:18 Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.
Numbers 23:24Taifa lainuka kama simba jike; 2 linajiinua kama simba 1 ambaye hatulii mpaka amalize kurarua mawindo yake 2 na kunywa damu ya mawindo yake.”
Deuteronomy 33:12Kuhusu Benyamini akasema: 1 “Mwache mpenzi wa Bwana 2 apumzike salama kwake, 1 kwa maana humkinga mchana kutwa, 2 na yule Bwana ampendaye 2 hupumzika kati ya mabega yake.”
Judges 20:21Wabenyamini wakatoka Gibea na kuwaua watu 22,000 wa Israeli siku ile.
1 Samuel 11:4Wajumbe walipofika Gibea ya Sauli na kutoa taarifa juu ya masharti haya kwa watu, wote walilia kwa sauti kubwa.
1 Samuel 17:1Wakati huu Wafilisti wakakusanya majeshi yao kwa ajili ya vita, nao wakakusanyika huko Soko katika Yuda. Wakapiga kambi huko Efes-Damimu, kati ya Soko na Azeka.