Numbers 1:7
kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of Judah; Nahshon the son of Amminadab.
In Context
6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 1
8kutoka Isakari, ni Nethaneli mwana wa Suari; 1
Cross References
Numbers 2:3Kwa upande wa mashariki kuelekea mawio ya jua, kambi ya makundi ya Yuda watapiga kambi chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Yuda ni Nashoni mwana wa Aminadabu.
Numbers 10:14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.
Ruth 4:20Aminadabu akamzaa Nashoni, 1 Nashoni akamzaa Salmoni, 1
Matthew 1:2Abrahamu akamzaa Isaki, 2 Isaki akamzaa Yakobo, 2 Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake, 2