Numbers 10:16
naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And over the host of the tribe of the children of Zebulun was Eliab the son of Helon.
In Context
15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari,
17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka.
Cross References
Numbers 7:24Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake.