Numbers 10:15
Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And over the host of the tribe of the children of Issachar was Nethaneel the son of Zuar.
In Context
16naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni.
Cross References
Numbers 7:18Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari, alileta sadaka yake.