Numbers 10:26
Pagieli mwana wa Okrani aliongoza kikosi cha kabila la Asheri,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And over the host of the tribe of the children of Asher was Pagiel the son of Ocran.
In Context
27naye Ahira mwana wa Enani aliongoza kikosi cha kabila la Naftali.
Cross References
Numbers 7:72Siku ya kumi na moja Pagieli mwana wa Okrani, kiongozi wa watu wa Asheri, alileta sadaka yake.