Numbers 10:27
naye Ahira mwana wa Enani aliongoza kikosi cha kabila la Naftali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And over the host of the tribe of the children of Naphtali was Ahira the son of Enan.
In Context
26Pagieli mwana wa Okrani aliongoza kikosi cha kabila la Asheri,
28Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.
Cross References
Numbers 7:78Siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa watu wa Naftali, alileta sadaka yake.