Numbers 10:28
Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27naye Ahira mwana wa Enani aliongoza kikosi cha kabila la Naftali.
Cross References
Numbers 10:35Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, 1 “Ee Bwana, inuka! 2 Watesi wako na watawanyike; 2 adui zako na wakimbie mbele zako.”
Song of Solomon 6:10Ni nani huyu atokeaye kama mapambazuko, 2 mzuri kama mwezi, mwangavu kama jua, 2 ametukuka kama nyota zifuatanazo? Mpenzi 1
1 Corinthians 14:40Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.