Numbers 10:35
Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, 1 “Ee Bwana, inuka! 2 Watesi wako na watawanyike; 2 adui zako na wakimbie mbele zako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.
Cross References
Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1
Psalms 3:8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. 1 Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Psalms 68:2Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo, 2 vivyo hivyo uwapeperushe mbali, 1 kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto, 2 vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu. 1
Psalms 132:8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, 2 wewe na Sanduku la nguvu zako. 1
Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1