The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 10 › Numbers 10:34

Numbers 10:34

Wingu la Bwana lilikuwa juu yao wakati wa mchana walipoondoka kambini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the cloud of the LORD was upon them by day, when they went out of the camp.

In Context

33Hivyo waliondoka kutoka mlima wa Bwana, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la Bwana liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika.

35Wakati wowote Sanduku lilipoondoka, Mose alisema, 1 “Ee Bwana, inuka! 2 Watesi wako na watawanyike; 2 adui zako na wakimbie mbele zako.”

Read all of Numbers 10

Cross References

Exodus 40:38Kwa hiyo wingu la Bwana lilikuwa juu ya maskani mchana, na moto ulikuwa katika hilo wingu wakati wa usiku, machoni pa nyumba yote ya Israeli siku zote za safari zao.

Nehemiah 9:12Mchana uliwaongoza kwa nguzo ya wingu, na usiku kwa nguzo ya moto kuwamulikia njia iliyowapasa kuiendea.

Psalms 105:39Alitandaza wingu kama kifuniko, 2 na moto kuwamulikia usiku. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 10:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 10:33Numbers 10Numbers 10:35 →