Numbers 12:3
(Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
(Now the man Moses was very meek, above all the men which were upon the face of the earth.)
In Context
Cross References
Numbers 11:10Mose akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. Bwana akakasirika mno, naye Mose akafadhaika.
Psalms 106:32Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Bwana, 2 janga likampata Mose kwa sababu yao; 1
Psalms 149:4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, 2 anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 1
Matthew 11:29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
2 Corinthians 10:1Basi, mimi Paulo ninawasihi kwa unyenyekevu na upole wa Kristo, mimi niliye “mwoga” ninapokuwa pamoja nanyi ana kwa ana, lakini mwenye ujasiri nikiwa mbali nanyi!
2 Corinthians 12:11Nimekuwa mjinga, lakini ninyi mmenilazimisha niwe hivyo. Kwa kuwa ilinipasa kusifiwa na ninyi, kwa sababu mimi si dhalili kuliko wale “mitume walio bora,” ingawa mimi si kitu.