Numbers 14:25
Kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani wanaishi katika mabonde, kesho geukeni mwelekee jangwani kwa kufuata njia iendayo Bahari ya Shamu.” + 14:25 Yaani Bahari Nyekundu au Bahari ya Mafunjo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Bwana akamwambia Mose na Aroni:
Cross References
Numbers 14:4Wakasemezana wao kwa wao, “Inatupasa kumchagua kiongozi na kurudi Misri.”
Judges 11:16Lakini walipopanda kutoka Misri, Israeli walipitia katika jangwa hadi Bahari ya Shamu na wakafika Kadeshi.
Proverbs 1:31watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1