bible.software › Hesabu › Hesabu 14 › Hesabu 14:26
Hesabu 14:26
Bwana akamwambia Mose na Aroni:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD spake unto Moses and unto Aaron, saying,
In Context
25Kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani wanaishi katika mabonde, kesho geukeni mwelekee jangwani kwa kufuata njia iendayo Bahari ya Shamu.” + 14:25 Yaani Bahari Nyekundu au Bahari ya Mafunjo.
27“Jumuiya hii ovu itanungʼunika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonungʼunika.
Read all of Hesabu 14
This Verse In Other Editions
Study Hesabu 14:26