Proverbs 1:31
watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore shall they eat of the fruit of their own way, and be filled with their own devices.
In Context
30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu, 2 na kukataa maonyo yangu, 1
32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, 2 nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. 1
Cross References
Job 4:8Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, 2 wale walimao ubaya 1 na wale hupanda uovu, 2 huvuna hayo hayo hayo. 1
Proverbs 14:14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, 2 naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. 1
Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
Jeremiah 6:19Sikia, ee nchi: 1 Ninaleta maafa juu ya watu hawa, 2 matunda ya mipango yao, 1 kwa sababu hawakusikiliza maneno yangu 2 na wameikataa sheria yangu. 1
Ezekiel 22:31Hivyo nitaimwaga ghadhabu yangu juu yao na kuwateketeza kwa moto wa hasira yangu, nikiyaleta juu ya vichwa vyao yale yote waliyotenda, asema Bwana Mwenyezi.”