The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 57 › Isaya 57:16

Isaya 57:16

Sitaendelea kulaumu milele, 2 wala sitakasirika siku zote, 1 kwa kuwa roho ya mwanadamu 2 ingezimia mbele zangu: 2 yaani pumzi ya mwanadamu niliyemuumba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I will not contend for ever, neither will I be always wroth: for the spirit should fail before me, and the souls which I have made.

In Context

15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1

17Nilighadhibika na tamaa yake ya dhambi; 2 nilimwadhibu, nikauficha uso wangu kwa hasira, 2 na bado aliendelea katika njia zake za tamaa. 1

Read all of Isaya 57

Cross References

Numbers 16:22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?”

Job 12:10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, 2 na pumzi ya wanadamu wote. 1

Psalms 78:38Hata hivyo alikuwa na huruma, 2 alisamehe maovu yao 2 na hakuwaangamiza. 1 Mara kwa mara alizuia hasira yake, 2 wala hakuchochea ghadhabu yake yote. 1

Psalms 103:9Yeye hatalaumu siku zote, 2 wala haweki hasira yake milele, 1

Isaiah 27:8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1

Isaiah 42:5Hili ndilo asemalo Mungu, Bwana, 2 yeye aliyeziumba mbingu na kuzitanda, 1 aliyeitandaza dunia na vyote vitokavyo humo, 2 awapaye watu wake pumzi, 2 na uzima kwa wale waendao humo: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 57:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 57:15Isaya 57Isaya 57:17 →