bible.software › Numbers › Numbers 19 › Numbers 19:17
Numbers 19:17
“Kwa mtu aliye najisi, weka majivu ya sadaka ya utakaso wa dhambi ndani ya chombo, umimine maji safi juu yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And for an unclean person they shall take of the ashes of the burnt heifer of purification for sin, and running water shall be put thereto in a vessel:
In Context
16“Mtu yeyote aliyeko nje mahali pa wazi agusaye mtu aliyeuawa kwa upanga au mtu aliyekufa kwa kifo cha kawaida, au mtu yeyote agusaye mfupa wa mtu aliyekufa au kaburi, atakuwa najisi kwa siku saba.
18Kisha mtu aliye safi kwa kawaida za kiibada atachukua hisopo, achovye ndani ya maji, na kunyunyizia hema na vifaa vyote pamoja na watu ambao walikuwamo. Pia ni lazima amnyunyizie mtu yeyote ambaye amegusa mfupa wa mtu aliyekufa, au kaburi, au mtu ambaye ameuawa, au mtu ambaye amekufa kifo cha kawaida.
Read all of Numbers 19
Cross References
Genesis 26:19Watumishi wa Isaki wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi.
Song of Solomon 4:15Wewe ni chemchemi ya bustani, 2 kisima cha maji yatiririkayo, 2 yakitiririka kutoka Lebanoni. Mpendwa 1
John 7:38Yeyote aniaminiye mimi, kama Maandiko yasemavyo, vijito vya maji ya uzima vitatiririka ndani mwake.”
This Verse In Other Editions
Study Numbers 19:17