The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 2 › Numbers 2:33

Numbers 2:33

Hata hivyo, Walawi hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine, kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the Levites were not numbered among the children of Israel; as the LORD commanded Moses.

In Context

32Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.

34Kwa hiyo Waisraeli wakafanya kila kitu Bwana alichomwamuru Mose. Hivyo ndivyo walivyopiga kambi chini ya alama zao, pia hivyo ndivyo walivyoondoka, kila mmoja akiwa na ukoo wake na jamaa yake.

Read all of Numbers 2

Cross References

Numbers 1:47Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine.

Numbers 26:57Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 2:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 2:32Numbers 2Numbers 2:34 →