Numbers 2:34
Kwa hiyo Waisraeli wakafanya kila kitu Bwana alichomwamuru Mose. Hivyo ndivyo walivyopiga kambi chini ya alama zao, pia hivyo ndivyo walivyoondoka, kila mmoja akiwa na ukoo wake na jamaa yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Hata hivyo, Walawi hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Cross References
Numbers 1:19kama Bwana alivyomwagiza Mose. Hivyo aliwahesabu katika Jangwa la Sinai: 1
Numbers 2:2“Waisraeli watapiga kambi zao kuzunguka Hema la Kukutania kwa umbali fulani kutoka kwenye hema, kila mwanaume chini ya alama yake pamoja na bendera ya jamaa yake.” 1
Numbers 10:28Huu ndio ulikuwa utaratibu wa kuondoka wa vikosi vya Waisraeli walipokuwa wanaondoka.
Numbers 23:21“Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo, 2 wala taabu katika Israeli. 1 Bwana, Mungu wao yu pamoja nao, 2 nayo sauti kuu ya Mfalme imo katikati yao. 1
Numbers 24:5“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, 2 maskani yako, ee Israeli! 1
Luke 1:6Zekaria na Elizabeti mkewe wote walikuwa watu wanyofu mbele za Mungu, wakizishika amri zote za Bwana na maagizo yote bila lawama.