Numbers 20:13
Haya yalikuwa maji ya Meriba, + 20:13 Meriba maana yake Kugombana. mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na Bwana, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao. 1 Edomu Wakatalia Israeli Kupita
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 17:7Naye akapaita mahali pale Masa, + 17:7 Masa maana yake ni Kujaribu. na Meriba + 17:7 Meriba maana yake ni Kugombana. kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu Bwana wakisema, “Je, Bwana yu pamoja nasi au la?” 1 Vita Na Waamaleki
Deuteronomy 33:8Kuhusu Lawi alisema: 1 “Thumimu yako na Urimu + 33:8 Thumimu na Urimu maana yake Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. yako ulimpa, 2 mtu yule uliyemfadhili. 1 Ulimjaribu huko Masa 2 na kushindana naye 2 kwenye maji ya Meriba. 1
Psalms 95:8msiifanye mioyo yenu migumu 2 kama mlivyofanya kule Meriba, + 95:8 Meriba maana yake ni Kugombana. 1 kama mlivyofanya siku ile 2 kule Masa + 95:8 Masa maana yake ni Kujaribiwa. jangwani, 1
Isaiah 5:16Lakini Bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa 2 kwa ajili ya haki yake, 1 naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe 2 kuwa mtakatifu kwa haki yake. 1
Ezekiel 36:23Nitauonyesha utakatifu wa Jina langu kuu, ambalo limetiwa unajisi miongoni mwa mataifa, jina ambalo limetiwa unajisi miongoni mwao. Ndipo mataifa watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana, asema Bwana Mwenyezi, nitakapojionyesha mwenyewe kuwa mtakatifu kwa kuwapitia ninyi mbele ya macho yao.