Numbers 21:13
Wakasafiri kutoka hapo na kupiga kambi kando ya Mto Arnoni, ambao uko katika jangwa lililoenea hadi nchi ya Waamori. Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Kutoka hapo waliendelea mbele wakapiga kambi kwenye Bonde la Zeredi.
Cross References
Numbers 21:14Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya Bwana kinasema: 1 “…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde 2 ya Arnoni,
Deuteronomy 2:13Bwana akasema, “Sasa ondokeni mvuke Bonde la Zeredi.” Hivyo tukavuka bonde.
Deuteronomy 2:24“Ondoka sasa na uvuke Bonde la Arnoni. Tazama, nimemweka mikononi mwako Sihoni Mwamori, mfalme wa Heshboni na nchi yake. Anza kuimiliki nchi hiyo na umwingize katika vita.
Isaiah 16:2Kama ndege wanaopapatika 2 waliofukuzwa kutoka kwenye kiota, 1 ndivyo walivyo wanawake wa Moabu 2 kwenye vivuko vya Arnoni. 1