Numbers 21:14
Ndiyo sababu Kitabu cha Vita vya Bwana kinasema: 1 “…Mji wa Wahebu nchini Seifa na mabonde 2 ya Arnoni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15na miteremko ya mabonde 1 inayofika hadi mji wa Ari 2 na huelekea mpakani mwa Moabu.”
Cross References
Joshua 10:13Hivyo jua likasimama, 2 nao mwezi ukatulia, 1 hadi taifa hilo lilipokwisha 2 kujilipizia kisasi kwa adui wake, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Yashari. Jua likasimama kimya katikati ya mbingu, likachelewa kuzama muda wa siku moja nzima.