Numbers 21:15
na miteremko ya mabonde 1 inayofika hadi mji wa Ari 2 na huelekea mpakani mwa Moabu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 21:28“Moto uliwaka kutoka Heshboni, 2 mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. 1 Uliteketeza Ari ya Moabu, 2 raiya wa mahali pa Arnoni palipoinuka. 1
Deuteronomy 2:18“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari.
Isaiah 15:1Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1