The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 21 › Numbers 21:16

Numbers 21:16

Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Bwana alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And from thence they went to Beer: that is the well whereof the LORD spake unto Moses, Gather the people together, and I will give them water.

In Context

15na miteremko ya mabonde 1 inayofika hadi mji wa Ari 2 na huelekea mpakani mwa Moabu.”

17Kisha Israeli akaimba wimbo huu: 1 “Bubujika, ee kisima! 2 Imba kuhusu maji, 1

Read all of Numbers 21

Cross References

Numbers 20:8“Chukua ile fimbo, na wewe na ndugu yako Aroni mkusanye kusanyiko pamoja. Nena na ule mwamba mbele ya macho yao, nao utatoa maji yake. Utatoa maji kutoka huo mwamba kwa ajili ya jumuiya ili wao na mifugo yao waweze kunywa.”

Isaiah 12:3Kwa furaha mtachota maji 2 kutoka visima vya wokovu.

Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1

Isaiah 49:10Hawataona njaa wala kuona kiu, 2 wala hari ya jangwani au jua halitawapiga. 1 Yeye mwenye huruma juu yao atawaonyesha njia, 2 na kuwaongoza kando ya chemchemi za maji. 1

John 4:14Lakini yeyote anywaye maji nitakayompa hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika uzima wa milele.”

Revelation 21:6Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yoyote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 21:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 21:15Numbers 21Numbers 21:17 →