Numbers 21:25
Israeli akaiteka miji yote ya Waamori na kuikalia, pamoja na Heshboni na makazi yote yanayoizunguka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:3“Atarothi, Diboni, Yazeri, Nimra, Heshboni, Eleale, Sebamu, Nebo na Beoni,
Deuteronomy 2:12Wahori waliishi Seiri, lakini wazao wa Esau waliwafukuza. Waliwaangamiza Wahori na kukaa mahali pao, kama Waisraeli walivyofanya katika nchi ambayo Bwana aliwapa kama milki yao.)
Song of Solomon 7:4Shingo yako ni kama mnara wa pembe ya ndovu. 2 Macho yako ni vidimbwi vya Heshboni 2 karibu na lango la Beth-Rabi. 1 Pua lako ni kama mnara wa Lebanoni 2 ukitazama kuelekea Dameski. 1
Isaiah 16:8Mashamba ya Heshboni yananyauka, 2 pia na mizabibu ya Sibma. 1 Watawala wa mataifa 2 wamekanyaga mizabibu iliyo mizuri sana, 1 ambayo ilipata kufika Yazeri 2 na kuenea kuelekea jangwani. 1 Machipukizi yake yalienea 2 yakafika hadi baharini. 1
Jeremiah 48:34“Sauti ya kilio chao inapanda 2 kutoka Heshboni hadi Eleale na Yahazi, 1 kutoka Soari hadi Horonaimu na Eglath-Shelishiya, 2 kwa kuwa hata maji ya Nimrimu yamekauka. 1
Ezekiel 16:46Dada yako mkubwa alikuwa Samaria, aliyeishi upande wako wa kaskazini na binti zake, pamoja na dada yake, naye dada yako mdogo, aliyeishi kusini yako pamoja na binti zake, alikuwa Sodoma.