The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 16 › Isaiah 16:8

Isaiah 16:8

Mashamba ya Heshboni yananyauka, 2 pia na mizabibu ya Sibma. 1 Watawala wa mataifa 2 wamekanyaga mizabibu iliyo mizuri sana, 1 ambayo ilipata kufika Yazeri 2 na kuenea kuelekea jangwani. 1 Machipukizi yake yalienea 2 yakafika hadi baharini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the fields of Heshbon languish, and the vine of Sibmah: the lords of the heathen have broken down the principal plants thereof, they are come even unto Jazer, they wandered through the wilderness: her branches are stretched out, they are gone over the sea.

In Context

7Kwa hiyo Wamoabu wanaomboleza, 2 wanaiombolezea Moabu kwa pamoja. 1 Wanaomboleza na kuhuzunika 2 kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. 1

9Hivyo ninalia kama Yazeri aliavyo, 2 kwa ajili ya mizabibu ya Sibma. 1 Ee Heshboni, ee Eleale, 2 ninakulowesha kwa machozi! 1 Kelele za furaha kwa ajili ya tunda lako lililoiva 2 na kwa ajili ya mavuno zimekomeshwa. 1

Read all of Isaiah 16

Cross References

Numbers 21:32Baada ya Mose kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko.

Numbers 32:35Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha,

Joshua 13:19Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde,

2 Samuel 1:21“Enyi milima ya Gilboa, 2 msipate umande wala mvua, 2 wala mashamba yazaayo sadaka ya nafaka. 1 Kwa maana huko ndiko ngao ya mwenye nguvu iliponajisiwa, 2 ngao ya Sauli haitapakwa tena mafuta. 1

Isaiah 15:4Heshboni na Eleale wanalia, 2 sauti zao zinasikika hadi Yahazi. 1 Kwa hiyo watu wenye silaha wa Moabu wanapiga kelele, 2 nayo mioyo yao imezimia. 1

Isaiah 24:7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 16:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 16:7Isaiah 16Isaiah 16:9 →