The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 21 › Numbers 21:26

Numbers 21:26

Heshboni ulikuwa mji wa Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alikuwa amepigana dhidi ya mfalme wa Moabu aliyetangulia na akawa amechukua ardhi yake yote mpaka Arnoni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For Heshbon was the city of Sihon the king of the Amorites, who had fought against the former king of Moab, and taken all his land out of his hand, even unto Arnon.

In Context

25Israeli akaiteka miji yote ya Waamori na kuikalia, pamoja na Heshboni na makazi yote yanayoizunguka.

27Ndiyo sababu watunga mashairi husema: 1 “Njoo Heshboni na ujengwe tena; 2 mji wa Sihoni na ufanywe upya. 1

Read all of Numbers 21

Cross References

Deuteronomy 1:4Hii ilikuwa baada ya kumshinda Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala Heshboni, na pia huko Edrei alikuwa amemshinda Ogu mfalme wa Bashani, ambaye alitawala huko Ashtarothi.

Joshua 13:17hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni,

Joshua 21:39Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

Jeremiah 48:2Moabu haitasifiwa tena; 2 huko Heshboni watu watafanya shauri baya la anguko lake: 2 ‘Njooni na tuangamize taifa lile.’ 1 Wewe nawe, ee Madmena, utanyamazishwa; 2 upanga utakufuatia. 1

Jeremiah 48:45“Katika kivuli cha Heshboni, 2 wakimbizi wamesimama pasipo msaada, 1 kwa kuwa moto umezimika huko Heshboni, 2 mwali wa moto kutoka katikati ya Sihoni; 1 unaunguza vipaji vya nyuso za Moabu, 2 mafuvu yao wenye kujivuna kwa kelele. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 21:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 21:25Numbers 21Numbers 21:27 →