The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 48 › Yeremia 48:2

Yeremia 48:2

Moabu haitasifiwa tena; 2 huko Heshboni watu watafanya shauri baya la anguko lake: 2 ‘Njooni na tuangamize taifa lile.’ 1 Wewe nawe, ee Madmena, utanyamazishwa; 2 upanga utakufuatia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There shall be no more praise of Moab: in Heshbon they have devised evil against it; come, and let us cut it off from being a nation. Also thou shalt be cut down, O Madmen; the sword shall pursue thee.

In Context

1Kuhusu Moabu: Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: 1 “Ole wake Nebo, kwa maana utaharibiwa. 2 Kiriathaimu utaaibishwa na kutekwa; 2 Misgabu itaaibishwa na kuvunjavunjwa. 1

3Sikiliza kilio kutoka Horonaimu, 2 kilio cha maangamizi makuu na uharibifu. 1

Read all of Yeremia 48

Cross References

Numbers 21:26Heshboni ulikuwa mji wa Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alikuwa amepigana dhidi ya mfalme wa Moabu aliyetangulia na akawa amechukua ardhi yake yote mpaka Arnoni.

Esther 3:8Kisha Hamani akamwambia Mfalme Ahasuero, “Wako watu fulani wameenea na kutawanyika miongoni mwa watu katika majimbo yote ya ufalme wako, ambao desturi zao ni tofauti na zile za watu wengine wote, nao hawatii sheria za mfalme. Haifai mfalme kuwavumilia watu hawa.

Isaiah 15:1Neno kuhusu Moabu: 1 Ari iliyo Moabu imeangamizwa: 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1 Kiri iliyo Moabu imeangamizwa, 2 imeharibiwa kwa usiku mmoja! 1

Isaiah 16:8Mashamba ya Heshboni yananyauka, 2 pia na mizabibu ya Sibma. 1 Watawala wa mataifa 2 wamekanyaga mizabibu iliyo mizuri sana, 1 ambayo ilipata kufika Yazeri 2 na kuenea kuelekea jangwani. 1 Machipukizi yake yalienea 2 yakafika hadi baharini. 1

Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1

Jeremiah 25:17Hivyo nikakichukua kikombe kutoka mkononi mwa Bwana, na kuyafanya mataifa yote aliyonituma kwao kukinywa:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 48:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 48:1Yeremia 48Yeremia 48:3 →