The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 21 › Numbers 21:28

Numbers 21:28

“Moto uliwaka kutoka Heshboni, 2 mwali wa moto kutoka mji wa Sihoni. 1 Uliteketeza Ari ya Moabu, 2 raiya wa mahali pa Arnoni palipoinuka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For there is a fire gone out of Heshbon, a flame from the city of Sihon: it hath consumed Ar of Moab, and the lords of the high places of Arnon.

In Context

27Ndiyo sababu watunga mashairi husema: 1 “Njoo Heshboni na ujengwe tena; 2 mji wa Sihoni na ufanywe upya. 1

29Ole wako, ee Moabu! 2 Umeharibiwa, enyi watu wa Kemoshi! 1 Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, 2 na binti zake kama mateka 2 kwa Mfalme Sihoni wa Waamori. 1

Read all of Numbers 21

Cross References

Numbers 21:15na miteremko ya mabonde 1 inayofika hadi mji wa Ari 2 na huelekea mpakani mwa Moabu.”

Deuteronomy 2:9Kisha Bwana akaniambia, “Usiwasumbue Wamoabu kwa vita, kwa kuwa sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao. Nimetoa nchi ya Ari kwa wazao wa Loti kama milki yao.”

Judges 9:15“Nao mti wa miiba ukaijibu, ‘Kama kweli mnataka niwe mfalme wenu, basi njooni mpate kupumzika chini ya kivuli changu. Lakini kama sivyo, moto na utoke kwenye mti wa miiba ukateketeze mierezi ya Lebanoni!’

Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1

Jeremiah 48:45“Katika kivuli cha Heshboni, 2 wakimbizi wamesimama pasipo msaada, 1 kwa kuwa moto umezimika huko Heshboni, 2 mwali wa moto kutoka katikati ya Sihoni; 1 unaunguza vipaji vya nyuso za Moabu, 2 mafuvu yao wenye kujivuna kwa kelele. 1

Amos 1:7nitatuma moto juu ya kuta za Gaza 2 ambao utateketeza ngome zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 21:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 21:27Numbers 21Numbers 21:29 →