The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:16

Isaya 10:16

Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore shall the Lord, the Lord of hosts, send among his fat ones leanness; and under his glory he shall kindle a burning like the burning of a fire.

In Context

15Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi 2 kuliko yule anayelitumia, 1 au msumeno kujisifu 2 dhidi ya yule anayeutumia? 1 Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, 2 au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 1

17Nuru ya Israeli itakuwa moto, 2 Aliye Mtakatifu wao mwali wa moto; 1 katika siku moja utaunguza na kuteketeza miiba 2 na michongoma yake. 1

Read all of Isaya 10

Cross References

2 Chronicles 32:21Naye Bwana akamtuma malaika ambaye aliangamiza wanajeshi wote, na viongozi na maafisa katika kambi ya mfalme wa Ashuru. Kwa hiyo, mfalme wa Ashuru akarudi nchini mwake kwa aibu. Naye alipokwenda katika hekalu la mungu wake, baadhi ya watoto wake wakamuua kwa upanga.

Isaiah 5:17Kondoo watajilisha kwenye malisho yao wenyewe, 2 wana-kondoo watajilisha katika magofu ya matajiri. 1

Isaiah 9:4Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, 2 umevunja nira iliyowalemea, 1 ile gongo mabegani mwao na 2 fimbo yake yeye aliyewaonea. 1

Isaiah 10:18Fahari ya misitu yake na mashamba yenye rutuba 2 utateketeza kabisa, 2 kama vile mtu mgonjwa adhoofikavyo. 1

Isaiah 17:4“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, 2 unono wa mwili wake utadhoofika. 1

Isaiah 29:5Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, 2 kundi la wakatili watakuwa 2 kama makapi yapeperushwayo. 1 Naam, ghafula, mara moja, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:15Isaya 10Isaya 10:17 →