bible.software › Numbers › Numbers 22 › Numbers 22:21
Numbers 22:21
Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Balaam rose up in the morning, and saddled his ass, and went with the princes of Moab.
In Context
20Usiku ule Bwana akamjia Balaamu na kumwambia, “Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita wewe, nenda nao, lakini ufanye tu lile nitakalokuambia.” 1 Punda Wa Balaamu
22Lakini Mungu alikasirika sana alipokwenda, naye malaika wa Bwana akasimama barabarani kumpinga. Balaamu alikuwa amepanda punda wake, na watumishi wake wawili walikuwa pamoja naye.
Read all of Numbers 22
Cross References
Proverbs 1:15Mwanangu, usiandamane nao. 2 Usiweke mguu wako katika njia zao, 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 22:21