The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 37 › Isaya 37:29

Isaya 37:29

Kwa sababu unaghadhibika na ufidhuli dhidi yangu, 2 na kwa sababu ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because thy rage against me, and thy tumult, is come up into mine ears, therefore will I put my hook in thy nose, and my bridle in thy lips, and I will turn thee back by the way by which thou camest.

In Context

28“Lakini ninajua mahali ukaapo, 2 kutoka kwako na kuingia kwako, 2 na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu. 1

30“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1

Read all of Isaya 37

Cross References

2 Kings 19:27“ ‘Lakini ninajua mahali ukaapo, 2 kutoka kwako na kuingia kwako, 2 na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu. 1

Job 41:2Waweza kupitisha kamba puani mwake, 2 au kutoboa taya lake kwa kulabu? 1

Psalms 32:9Usiwe kama farasi au nyumbu 2 wasio na akili, 1 ambao ni lazima waongozwe kwa lijamu na hatamu 2 la sivyo hawatakukaribia. 1

Psalms 74:4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, 2 wanaweka bendera zao kama alama. 1

Psalms 83:2Tazama watesi wako wanafanya fujo, 2 jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao. 1

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 37:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 37:28Isaya 37Isaya 37:30 →