Proverbs 1:15
Mwanangu, usiandamane nao. 2 Usiweke mguu wako katika njia zao, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My son, walk not thou in the way with them; refrain thy foot from their path:
In Context
14Njoo ushirikiane nasi, 2 vitu vyote tutakavyopata tutagawana.” 1
16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni wepesi kumwaga damu. 1
Cross References
Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1
Psalms 119:101Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya, 2 ili niweze kutii neno lako. 1
Proverbs 4:14Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu 2 wala usitembee katika njia ya watu wabaya. 1
Proverbs 4:27Usigeuke kulia wala kushoto; 2 epusha mguu wako na ubaya.
Proverbs 9:6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Isaiah 33:15Yeye aendaye kwa uadilifu 2 na kusema lililo haki, 1 yeye anayekataa faida ipatikanayo kwa dhuluma 2 na kuizuia mikono yake isipokee rushwa, 1 yeye azuiaye masikio yake dhidi ya mashauri ya mauaji, 2 na yeye afumbaye macho yake yasitazame sana uovu: 1