Numbers 22:6
Sasa uje kuwalaani watu hawa, kwa kuwa wana nguvu sana kuniliko. Kisha huenda nikaweza kuwashinda na kuwatoa nje ya nchi. Kwa kuwa ninajua kwamba, wale unaowabariki wanabarikiwa na wale unaowalaani wanalaaniwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”
Numbers 22:12Lakini Bwana akamwambia Balaamu, “Usiende pamoja nao. Hupaswi kulaani watu hao, kwa kuwa wamebarikiwa.”
Numbers 23:7Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki amenileta kutoka Aramu, 2 mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki. 1 Akasema, ‘Njoo, unilaanie Yakobo; 2 njoo unishutumie Israeli.’ 1
Numbers 23:27Basi Balaki akamwambia Balaamu, “Njoo, nikupeleke mahali pengine. Huenda itampendeza Mungu kukuruhusu unilaanie hao watu kutoka mahali hapo.”
Deuteronomy 23:4Kwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu + 23:4 Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi. ili kuwalaani ninyi.
1 Samuel 17:43Akamwambia Daudi, “Je, mimi ni mbwa, hata unanijia na fimbo?” Yule Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.