Numbers 23:27
Basi Balaki akamwambia Balaamu, “Njoo, nikupeleke mahali pengine. Huenda itampendeza Mungu kukuruhusu unilaanie hao watu kutoka mahali hapo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika.
Cross References
Numbers 23:13Ndipo Balaki akamwambia, “Twende pamoja mahali pengine ambapo unaweza kuwaona; utawaona baadhi tu wala si wote. Nawe kutoka huko, unilaanie hao.”
Job 23:13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? 2 Yeye hufanya lolote atakalo. 1
Proverbs 21:30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1
Isaiah 46:10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1
Romans 11:29kwa maana akishawapa watu karama, Mungu haziondoi, wala wito wake.