Numbers 23:11
Balaki akamwambia Balaamu, “Ni nini ulichonitendea? Nimekuleta ulaani adui zangu, lakini wewe badala yake umewabariki!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:11‘Taifa ambalo limekuja kutoka Misri limefunika uso wa nchi. Sasa uje unilaanie hao watu. Kisha huenda nitaweza kupigana nao na kuwafukuza.’ ”
Numbers 23:7Ndipo Balaamu akasema ujumbe wake: 1 “Balaki amenileta kutoka Aramu, 2 mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki. 1 Akasema, ‘Njoo, unilaanie Yakobo; 2 njoo unishutumie Israeli.’ 1
Nehemiah 13:2kwa sababu hawakuwalaki Waisraeli kwa chakula na maji. Badala yake walimwajiri Balaamu kuwalaani (lakini hata hivyo Mungu wetu aligeuza laana kuwa baraka).