The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 23 › Numbers 23:12

Numbers 23:12

Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile Bwana anachoweka katika kinywa changu?” 1 Ujumbe Wa Pili Wa Balaamu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he answered and said, Must I not take heed to speak that which the LORD hath put in my mouth?

In Context

11Balaki akamwambia Balaamu, “Ni nini ulichonitendea? Nimekuleta ulaani adui zangu, lakini wewe badala yake umewabariki!”

13Ndipo Balaki akamwambia, “Twende pamoja mahali pengine ambapo unaweza kuwaona; utawaona baadhi tu wala si wote. Nawe kutoka huko, unilaanie hao.”

Read all of Numbers 23

Cross References

Numbers 22:20Usiku ule Bwana akamjia Balaamu na kumwambia, “Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita wewe, nenda nao, lakini ufanye tu lile nitakalokuambia.” 1 Punda Wa Balaamu

Numbers 23:3Kisha Balaamu akamwambia Balaki, “Kaa hapa kando ya sadaka yako wakati mimi ninakwenda kando. Huenda Bwana atakuja kukutana nami. Lolote atakalonifunulia, nitakuambia.” Basi akaenda hata mahali peupe palipoinuka.

Numbers 23:26Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Bwana?” 1 Ujumbe Wa Tatu Wa Balaamu

Proverbs 26:25Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, 2 kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake. 1

Titus 1:16Wanadai kumjua Mungu, lakini kwa matendo yao wanamkana. Hao watu ni chukizo, wasiotii, wasiofaa kwa jambo lolote jema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 23:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 23:11Numbers 23Numbers 23:13 →