Nehemiah 13:2
kwa sababu hawakuwalaki Waisraeli kwa chakula na maji. Badala yake walimwajiri Balaamu kuwalaani (lakini hata hivyo Mungu wetu aligeuza laana kuwa baraka).
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni.
Cross References
Numbers 22:3Moabu aliogopa, kwa kuwa walikuwepo watu wengi sana. Hakika, Moabu alijawa na hofu kubwa kwa sababu ya Waisraeli.
Numbers 23:8Nitawezaje kuwalaani, 2 hao ambao Mungu hajawalaani? 1 Nitawezaje kuwashutumu 2 hao ambao Bwana hakuwashutumu? 1
Numbers 24:5“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, 2 maskani yako, ee Israeli! 1
Deuteronomy 23:5Hata hivyo, Bwana Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu Bwana Mungu wenu anawapenda.
Psalms 109:28Wanaweza kulaani, lakini wewe utabariki, 2 watakaposhambulia wataaibishwa, 2 lakini mtumishi wako atashangilia. 1
Matthew 25:40“Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi mlivyomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.’