bible.software › Numbers › Numbers 23 › Numbers 23:25
Numbers 23:25
Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Balak said unto Balaam, Neither curse them at all, nor bless them at all.
In Context
24Taifa lainuka kama simba jike; 2 linajiinua kama simba 1 ambaye hatulii mpaka amalize kurarua mawindo yake 2 na kunywa damu ya mawindo yake.”
26Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Bwana?” 1 Ujumbe Wa Tatu Wa Balaamu
Read all of Numbers 23
Cross References
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 23:25