The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 23 › Numbers 23:26

Numbers 23:26

Balaamu akajibu, “Je, sikukuambia ni lazima nifanye lolote analosema Bwana?” 1 Ujumbe Wa Tatu Wa Balaamu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Balaam answered and said unto Balak, Told not I thee, saying, All that the LORD speaketh, that I must do?

In Context

25Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!”

27Basi Balaki akamwambia Balaamu, “Njoo, nikupeleke mahali pengine. Huenda itampendeza Mungu kukuruhusu unilaanie hao watu kutoka mahali hapo.”

Read all of Numbers 23

Cross References

Numbers 22:38Balaamu akajibu, “Vema, sasa nimekuja kwako. Lakini kwani nina uwezo wa kusema tu chochote? Ni lazima niseme tu kile ambacho Mungu ataweka kinywani mwangu.”

Numbers 23:12Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile Bwana anachoweka katika kinywa changu?” 1 Ujumbe Wa Pili Wa Balaamu

Numbers 24:12Balaamu akamwambia Balaki, “Je, hukumbuki jinsi nilivyowaambia wajumbe uliowatuma kwangu? Niliwaambia hivi,

2 Chronicles 18:13Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, nitamwambia kile tu Bwana atakachoniambia.”

Acts 5:29Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 23:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 23:25Numbers 23Numbers 23:27 →