The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 24 › Numbers 24:5

Numbers 24:5

“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, 2 maskani yako, ee Israeli! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How goodly are thy tents, O Jacob, and thy tabernacles, O Israel!

In Context

4ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi, + 24:4 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania (pia 24:16). 2 ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: 1

6“Kama mabonde, yanaenea, 2 kama bustani kando ya mto, 1 kama miti ya udi iliyopandwa na Bwana, 2 kama mierezi kando ya maji. 1

Read all of Numbers 24

Cross References

Leviticus 23:42Mtaishi katika vibanda kwa siku saba: Wazawa wote wa Waisraeli wataishi katika vibanda,

Numbers 24:2Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mungu akawa juu yake,

Joshua 24:10Lakini sikumkubali Balaamu, kwa hiyo aliwabariki tena na tena, nami niliwaokoa toka mkononi mwake.

Psalms 84:2Nafsi yangu inatamani sana, 2 naam, hata kuona shauku, 2 kwa ajili ya nyua za Bwana; 1 moyo wangu na mwili wangu 2 vinamlilia Mungu Aliye Hai. 1

Song of Solomon 6:4Wewe ni mzuri, mpenzi wangu, kama Tirsa, 2 upendezaye kama Yerusalemu, 2 umetukuka kama jeshi lenye bendera. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 24:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 24:4Numbers 24Numbers 24:6 →