Numbers 24:6
“Kama mabonde, yanaenea, 2 kama bustani kando ya mto, 1 kama miti ya udi iliyopandwa na Bwana, 2 kama mierezi kando ya maji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, 2 maskani yako, ee Israeli! 1
Cross References
Genesis 2:8Basi Bwana Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.
Psalms 1:3Mtu huyo ni kama mti uliopandwa 2 kando ya vijito vya maji, 2 ambao huzaa matunda kwa majira yake 1 na majani yake hayanyauki. 2 Lolote afanyalo hufanikiwa. 1 Huzuni Ya Waovu 1
Psalms 92:12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Song of Solomon 4:12Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu, 2 bibi arusi wangu; 1 wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa, 2 chemchemi yangu peke yangu. 1
Isaiah 41:19Katika jangwa nitaotesha 2 mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. 1 Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku 2 pamoja huko nyikani, 1
Jeremiah 17:18Watesi wangu na waaibishwe, 2 lakini nilinde mimi nisiaibike; 1 wao na watiwe hofu kuu, 2 lakini unilinde mimi na hofu kuu. 1 Waletee siku ya maafa; 2 waangamize kwa maangamizi maradufu. 1 Kuiadhimisha Sabato