The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 24 › Numbers 24:4

Numbers 24:4

ujumbe wake yeye ambaye husikia maneno ya Mungu, 2 ambaye huona maono kutoka kwa Mwenyezi, + 24:4 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania (pia 24:16). 2 ambaye huanguka kifudifudi, na ambaye macho yake yamefunguka: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He hath said, which heard the words of God, which saw the vision of the Almighty, falling into a trance, but having his eyes open:

In Context

3naye akatoa ujumbe wake: 1 “Ujumbe wa Balaamu mwana wa Beori, 2 ujumbe wake yeye ambaye jicho lake linaona vizuri; 1

5“Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, 2 maskani yako, ee Israeli! 1

Read all of Numbers 24

Cross References

Genesis 15:12Wakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake.

Numbers 22:20Usiku ule Bwana akamjia Balaamu na kumwambia, “Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita wewe, nenda nao, lakini ufanye tu lile nitakalokuambia.” 1 Punda Wa Balaamu

1 Samuel 19:24Akavua majoho yake na pia akatoa unabii mbele ya Samweli. Akalala hali hiyo ule mchana kutwa na usiku kucha. Hii ndiyo sababu watu husema, “Je, Sauli pia yumo miongoni mwa manabii?”

Psalms 89:19Ulizungumza wakati fulani katika maono, 2 kwa watu wako waaminifu, ukasema: 1 “Nimeweka nguvu kwa shujaa, 2 nimemwinua kijana miongoni mwa watu. 1

Daniel 8:17Alipokuwa akikaribia pale nilipokuwa nimesimama, niliogopa, nikaanguka kifudifudi. Akaniambia, “Mwana wa mwanadamu, fahamu kuwa maono haya yanahusu siku za mwisho.”

Daniel 10:15Alipokuwa akinielezea haya, nilisujudu uso wangu ukiwa umeelekea chini, nikawa bubu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 24:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 24:3Numbers 24Numbers 24:5 →