Numbers 24:8
“Mungu alimleta kutoka Misri; 2 yeye ana nguvu kama nyati. 1 Anayararua mataifa yaliyo adui zake, 2 na kuvunja mifupa yao vipande vipande; 2 huwachoma kwa mishale yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 23:22Kama ukitii kweli kweli kile asemacho na kufanya yote nisemayo, nitakuwa adui wa adui zako, na nitawapinga wale wakupingao.
Numbers 21:5wakamnungʼunikia Mungu na Mose, wakisema, “Kwa nini umetupandisha kutoka Misri ili tufe jangwani? Hakuna mkate! Hakuna maji! Nasi tunachukia sana chakula hiki duni!”
Numbers 23:24Taifa lainuka kama simba jike; 2 linajiinua kama simba 1 ambaye hatulii mpaka amalize kurarua mawindo yake 2 na kunywa damu ya mawindo yake.”
Deuteronomy 32:23“Nitalundika majanga juu yao 2 na kutumia mishale yangu dhidi yao. 1
Psalms 2:9Utawatawala kwa fimbo ya chuma 2 na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 1
Psalms 45:5Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, 2 mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako. 1