Numbers 26:12
Wazao wa Simeoni kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Nemueli, ukoo wa Wanemueli; 1 kutoka kwa Yamini, ukoo wa Wayamini; 1 kutoka wa Yakini, ukoo wa Wayakini; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Pamoja na hayo, hao ukoo wa Kora hawakufa.
13kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera; 1 kutoka kwa Shauli, ukoo wa Washauli.
Cross References
Exodus 6:14Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: 1 Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hawa walikuwa ndio koo za Reubeni. 1
1 Kings 7:21Hiramu akasimamisha nguzo kwenye baraza ya Hekalu. Nguzo ya upande wa kusini akaiita Yakini, + 7:21 Yakini maana yake Mungu atafanya imara. na ile ya upande wa kaskazini Boazi. + 7:21 Boazi maana yake Ndani ya Mungu kuna nguvu.