Numbers 26:33
(Selofehadi mwana wa Heferi hakuzaa wana, bali alikuwa na watoto wa kike tu, ambao majina yao yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; 2 kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi. 2
34Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700.
Cross References
Numbers 27:1Binti za Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, walikuwa wa koo za Manase mwana wa Yosefu. Majina ya hao binti yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa. Walikaribia
Numbers 36:11Binti za Selofehadi, ambao ni Mahla, Tirsa, Hogla, Milka na Noa, wakaolewa na waume, wana wa ndugu za baba yao.